SBS Swahili - SBS Swahili Podcast By SBS cover art

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

By: SBS
Listen for free

Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza KiswahiliCopyright 2023, Special Broadcasting Services Politics & Government Social Sciences
Episodes
  • Taarifa ya Habari: Serikali ya Australia na Singapore kutia saini makubaliano mapya ya usambazaji wa mafuta
    Apr 10 2026
    Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema uhusiano kati ya Australia na Singapore ni muhimu zaidi kuliko hapo awali, nchi hizo mbili zikijiandaa kusaini makubaliano mapya ya mafuta.
    Show more Show less
    13 mins
  • Yaliyojiri Afrika: Upinzani waomba Tundu Lisu aachiliwe huru bila masharti
    Apr 10 2026
    Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA kina shinikiza kuachiliwa huru kwa kiongozi wao Tundu Antiphas Mughwai Lissu bila masharti.
    Show more Show less
    8 mins
  • Makala leo: Maumivu ya madereva katika vituo vya petroli yanaweza endelea kwa muda
    Apr 10 2026
    Tangazo la kusitisha mapigano Mashariki ya Kati linaonekana kupunguza maumivu ya madereva katika vituo vya petroli, Iran ikikubali kuruhusu meli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.
    Show more Show less
    9 mins
No reviews yet