• Nicky "Mwaka huu Taunet imelenga kufunza watoto wetu lugha na utamaduni wetu"
    Apr 17 2026
    Wanachama wa shirika la Taunet Nelel Melbourne, wame andaliwa sherehe maalum na viongozi wao.
    Show more Show less
    14 mins
  • Taarifa ya Habari 17 Aprili 2026
    Apr 17 2026
    Waziri wa Nishati Chris Bowen anasema uzalishaji wa petroli katika kiwanda cha kusafishia mafuta cha Geelong utaathiriwa kufuatia tukio la moto mapema wiki hii, lakini mmiliki wa kiwanda hicho ana uhakika wa kubadilisha tofauti hiyo na uagizaji.
    Show more Show less
    13 mins
  • SBS Learn Eng Ep 106 Kuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufahamu
    Apr 17 2026
    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufamu?
    Show more Show less
    9 mins
  • Makala Leo: Sera tata ya uhamiaji ya kiongozi wa upinzani Angus Taylor yakosolewa vikali
    Apr 17 2026
    Kiongozi wa upinzani Angus Taylor ameelezea sera mpya ya uhamiaji yenye msimamo mkali ya Upinzani wa Mseto
    Show more Show less
    13 mins
  • Taarifa ya Habari: Zima moto wakabiliana na moto mkubwa katika kiwanda cha kusafisha mafuta
    Apr 16 2026
    Kuna ripoti za uharibifu mkubwa kwa moja ya viwanda viwili vya mwisho vya kusafisha mafuta vilivyosalia nchini Australia, kikosi cha zimamoto kikiitikia moto uliozuka katika eneo la kampuni ya Viva Energy Group karibu na Geelong.
    Show more Show less
    6 mins
  • Wiki hii Afrika: Rais Ruto ataka mageuzi katika muundo wa Muungano wa Afrika ili ifikie uwezo wayo kamili
    Apr 16 2026
    Katika mkutano maalum Rais wa Kenya William S Ruto amesema anataka mageuzi katika muundo wa Muungano wa Afrika kwa ili Afrikka ifikie uwezo wayo kamili.
    Show more Show less
    8 mins
  • Taarifa ya Habari: Historia ya tengezwa baada ya mwanamke kuteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia
    Apr 14 2026
    Kwa mara ya kwanza katika historia ya Australia, mwanamke ameteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia. Waziri Mkuu alitangaza uteuzi wa Luteni Jenerali Susan Coyle mjini Canberra.
    Show more Show less
    15 mins
  • Australia Yafafanuliwa:Huduma za kisheria za wanawake nchini Australia:elewa chaguzi zako
    Apr 14 2026
    Ubaguzi katika sehemu za kazi, unyanyasaji wa kijinsia na ukosefu wa usawa wa kifedha—hizi ni baadhi ya sababu, zinazowafanya wanawake wahitaji huduma maalum za kisheria.
    Show more Show less
    15 mins